Sunday, May 5, 2013

MBUNGE LEMA ATEMBELEA ENEO LA KANISA LILILOLIPULIWA HUKO ARUSHA



Godbless Lema ambaye ni mbunge wa arusha ametembelea eneo la kanisa lililolipuliwa na kuwafariji wahanga wa tukio hilo.....


Akiongea kwa jazba na hasira na wanachi waliopo eneo la tukio,Lema ameitumu serikali kwa mara nyingine na kudai kuwa uzembe wa viongozi ndo chanzo cha matukio kama haya....


Hotuba fupi na nasaha zake zilikuwa zikisikika moja kwa moja kupitia Radio maria kabla ya kituo hicho kuamua kukatisha nasaha zake.....


Haijafahamika mara moja sababu za kukatishwa kwa hotuba yake ...


Bado tunasubiri taarifa rasmi ya vyombo vya ulinzi na usalama kuhusiana na tukio hili

Tags:

0 Responses to “MBUNGE LEMA ATEMBELEA ENEO LA KANISA LILILOLIPULIWA HUKO ARUSHA ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI