Thursday, June 27, 2013

HII NDIYO BIASHARA INAYOMUWEKA MJINI MWISHO MWAMPAMBA

Mwisho Mwampamba mshiriki wa Big Brother ya kwanza kabisa baada ya kimya kingi chakuweka makazi pande za Namibia yeye na familia yake, sasa hivi amerudi nyumbani na amekuja kikazi zaidi na kuamua kufungua duka la toy za watoto lenye kila kitu ambavyo mtoto atachezea. Duka hili lipo maeneo ya Sinza Palestina linatizamana na msikiti mkuu.






Tags: ,

0 Responses to “HII NDIYO BIASHARA INAYOMUWEKA MJINI MWISHO MWAMPAMBA”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI