Friday, June 28, 2013

HUKU "MZIKI GANI" IKIWA ON FIRE,NEY WA MITEGO NA PLATNUM KUACHIA NGOMA HIZI HAPA


Wakali wa ngoma “MUZIKI GANI” , yaani Nay Wa Mitego Na Diamond wako njiani kuachia ngoma nyingine wakiwa katika collabo … Inasadikika kuwa Platnumz na Wa Mitego wamesharekodi ngoma kadhaa ikiwemo SALAMU ZAO, UTAKULA JEURI YAKO na nyinginezo ila wanashauriana ni ipi ya kutoa … 

MUZIKI GANI imefanya vizuri sana na wasanii hawa na hakutakuwa na tatizo kama wakiendeleza kazi zao kwa pamoja … Wasanii hawa wako kwenye ziara zao tofauti kimuziki lakini tuwategemee tena na ngoma nyingine kali

Tags:

0 Responses to “HUKU "MZIKI GANI" IKIWA ON FIRE,NEY WA MITEGO NA PLATNUM KUACHIA NGOMA HIZI HAPA ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI