Friday, June 28, 2013

HATIMAYE JOKATE AFUNGUKA SENTENSI MOJA TU PENZI LAKE NA DIAMOND PLATNUM KWENDA MRAMA





Jokate aongea baada ya Diamond kukiri kuwa anajuta kumkosea na kuuvunja moyo wake..!!!

Akiongea jinsi alivyomuumiza Jokate,Diamond alisema 'Kwasababu alikuwa too innocent halafu hakuwahi kunikosea kitu chochote Jokate kabisa,halafu nikamwingiza kwenye matatizo,watu wakamchukulia tofauti kwamba 'Jokate kumchukua wema Boyfriend wake' wakati nilimfuata mimi kama mimi, nilimtafuta mwenyewe halafu then nikawa niko naye halafu ghafla nikarudisha mahusiano kwa wema.Sikujisikia vibaya halafu still haikuwa vizuri sometimes nikikaaga hivi nasema nilimkosea.

Kwa upande wa Jokate anasema, Watu wengi hawajui the real issue,I'm grad kama ame acknowledge I was innocent in that whole matter.

Tags: ,

0 Responses to “HATIMAYE JOKATE AFUNGUKA SENTENSI MOJA TU PENZI LAKE NA DIAMOND PLATNUM KWENDA MRAMA ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI