Home
» michezo
» MESSI ATUA SENEGAL,ATEMBELEA ACADEMY ALIPO MTANZANIA MMOJA..AKILI MOURINHO ATATISHA CHELSEA
Friday, June 28, 2013
MESSI ATUA SENEGAL,ATEMBELEA ACADEMY ALIPO MTANZANIA MMOJA..AKILI MOURINHO ATATISHA CHELSEA
Friday, June 28, 2013 by Unknown
bin zubery
MWANASOKA bora wa dunia, Lionel Messi ametembelea akademi ya Aspire nchini Senegal ambako kuna mchezaji mmoja chipukizi kutoka Tanzania, Orgenes Molel.
Na akiwa huko, amesema anaamini kocha mpinzani wake wa zamani, Jose Mourinho atapata mafanikio Chelsea na ameweka wazi, Mreno huyo ni 'bonge la kocha'.
Mourinho amerejea Chelsea baada ya kumaliza kuitumikia Real Madrid mwishoni mwa msimu uliopita.
Kocha huyo wa zamani wa Porto na Inter Milan alikuwa maarufu Hispania kutokana na kukuza upinzani wa Real na Barcelona katika kipindi alichokuwa akifanya kazi Madrid.

Mtu kati: Lionel Messi alikuwas Senegal kutembelea akademi ya Aspire Academy

Mapokezi makubwa: Messi amepata mapokezi makubwa Senegal alipokwenda katika kampeni ya kupiga vita Malaria kwa nchi za Afrika


Mafanikio: Mourinho amechukua nafasi ya Rafa Benitez Chelsea

Carlo Ancelotti (katikati) amerithi mikoba ya Mourinho Madrid\
Tags:
michezo

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “MESSI ATUA SENEGAL,ATEMBELEA ACADEMY ALIPO MTANZANIA MMOJA..AKILI MOURINHO ATATISHA CHELSEA ”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.