Saturday, June 22, 2013

Mbunge Wa Mbeya Amtukana Waziri Mkuu Na Kudai Kuwa "Tanzania Haijawahi Kuwa Na Waziri Mkuu Mpumbavu Kama ....."



Katika hali yakushangaza , mbunge wa mbeya mjini kwa tiketi ya CHADEMA, mh. SUGU ameporomosha tusi zito kwa waziri mkuu wa tanzania ( mh. PINDA ) akidai kuwa Tanzania haijawahi kuwa na waziri mkuu mpumbavu kama yeye.....


Tusi la Sugu limekuja baada ya waziri mkuu kuwaruhusu rasimi polisi kutumia nguvu ya ziada kuwadhibiti wananchi kwa kuwashushia kichapo ili wazitii sheria.....


Hili ndo tusi la mbuge wa mbeya kwa waziri mkuu...

Tags: ,

0 Responses to “Mbunge Wa Mbeya Amtukana Waziri Mkuu Na Kudai Kuwa "Tanzania Haijawahi Kuwa Na Waziri Mkuu Mpumbavu Kama ....." ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI