Saturday, June 22, 2013

OMMY DIMPOZ APIGWA CHUPA NA MASHABIKI JUKWAANI..!!





Kuna tetesi kuwa Ommy dimpoz arushiwa chupa na mawe jukwaaani dodoma na kushindwa kufanya show ya kilimanjaro muzik award dodoma. Wadau wa dom wasema kamwe msanii yoyote atakaye mdisi msanii wa dodoma awatamkubari kufanya show dom na watamshusha jukwaani kama walivyo fanya leo

TOA MAONI YAKO HAPA

Tags: ,

0 Responses to “OMMY DIMPOZ APIGWA CHUPA NA MASHABIKI JUKWAANI..!! ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI