Monday, June 17, 2013
Sintah Amtolea Uvivu Ommy Dimpoz Na Kumpa Lake La Rohoni
Monday, June 17, 2013 by Unknown
Sinta ameandika haya yafuatayo katika website yake:
MDOMO UMEMPONZA HUYU KIJANA
"Daaah masikini akipata matako hulia mbwata, yaani nimesikitishwa na habari ya Ommy Dimpoz na kauli yake aliyotoa kwenye umma, hivi wewe Dimpozi unajua nini cha kuongea ktk public?? SMH usipende kuropoka ropoka tu hata kama wewe ukifa tutajuaje kwenye bank yako kuna kiasi gani acha kuongea kwasababu ya nyimbo tatu ,, Nainai, Badaye na Me n U, Angalia kijana na usiache mbachao kwa msala upitao sasa unajiliza nini katika radio na umeongea mwenyewe hivi hujui mdomo huumba na pia huponza kichwa??
sasa wewe unataka kuniambia u have invested na hutegemei show?? kumbuka sisi mashabiki wako ndio tumekuweka hapo juu na ku support music wako haya tukiacha kupenda nyimbo zako na ukakosa show itakuwaje??? umenizije sasa kumkejeli mwenzio tena kwenye kipaza sauti next time uliza nini cha kuongea ndio maana wenzenu wanakuwa na managers wa kuwa guide sio unaongea tu coz usikike. wenzio walionyamaza uliwaona mafala sio?? au ulitaka utoke kama hivi tukuongeleee cheap cheap fame.
kauli yako uko sahihi ila kwanini usingeiongelea ktk interviews zako kama ushauri kwa wasanii wenzio na ukaifanya ni big issue ktk msiba wa mwenzio??
nimekupa langu la roho kazi kwako sasa ukinichukia sijali, ukinipenda sawa coz naongea ukweli na wananchi waliokerwa wamenituma na sikuwepo ila wamerekodi wakaniambia CEO ifanyie kazi Ommy D katukwaza" says SintahTOA MAONI YAKO HAPA
Tags:
celebrities

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “Sintah Amtolea Uvivu Ommy Dimpoz Na Kumpa Lake La Rohoni”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.