Home
» siasa
» Soma Alichokiandika Zitto Kabwe Kuhusu Kauli Ya Pinda Kuruhusu Polisi Kupiga Wananchi
Saturday, June 22, 2013
Soma Alichokiandika Zitto Kabwe Kuhusu Kauli Ya Pinda Kuruhusu Polisi Kupiga Wananchi
Saturday, June 22, 2013 by Unknown
Baada ya mh.waziri mkuu mizengo pinda kutoa ruhurusa kwa polisi kupiga wananchi..Mh mbunge zitto kabwe nae atoa lake juu ya mh.waziri mkuu...Kupiitia tweet yake Zitto alisema "Viongozi wa kisiasa lazima wajue kuwka akiba ya maneno yao .kuropoka hovyo hovyo wakati kama huu wenye taharuki ni hatarii sana"..Aliongezea "Ni lazima viongozi wawajibishwe kwa maneno wanayotamka.Mh. Pinda anahamasisha ukiukwaji wa katiba na sheria Asipowajibishwa.!"
HIZI NDIZO TWEET ZA MH.ZITTO KABWE
TOA MAONI YAKO HAPA

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “Soma Alichokiandika Zitto Kabwe Kuhusu Kauli Ya Pinda Kuruhusu Polisi Kupiga Wananchi”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.