Saturday, June 22, 2013
Jina La Mtoto Wa Kanye West Na Kim Lafahamika..Anaitwa......
Saturday, June 22, 2013 by Unknown

Naomba nimtambulishe vizuri, mtoto wa kike wa Kanye West na Kim Kardashian amepewa jina la ‘NORTH WEST’ kwa mujibu wa birth certificate kutoka Cedars-Sinai hospital.
Lakini chanzo kingine kilichokaribu kimeuambia mtandao wa USWeekly kuwa couple hao tayari wamempatia mwanao nickname, atakuwa anaitwa ‘NORI’ kama kifupi cha North.
So Kim mwenye miaka 32 amepata a.k.a nyingine ambayo ni mama ‘North’ au mama ‘Nori’. Haijajulikana bado sababu za Kanye na Kim kuchagua jina la North.
Wewe unalionaje jina la mtoto huyo?TOA MAONI YAKO HAPA
Tags:
celebrities ,
kimataifa

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “Jina La Mtoto Wa Kanye West Na Kim Lafahamika..Anaitwa......”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.