Monday, June 17, 2013

Update: Waombolezaji Waanza Kuuaga Mwili Wa Marehemu Langa..!!








Mwili wa Langa Kileo ukiwa nyumbani kwao Mikocheni Jijini Dar.




Langa enzi za uhai wake.…




Mwili wa Langa Kileo ukiwa nyumbani kwao Mikocheni Jijini Dar.


Langa enzi za uhai wake.










Ndugu wa marehemu wakiaga.


Jeneza lenye mwili wa marehemu Langa.


Ridhiwan Kikwete (kushoto) akiwa msibani

Taratibu za mazishi ya msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Langa Kileo zimeanza rasmi ambapo leo asubuhi ameagwa na familia yake nyumbani kwao Mikocheni Jijini Dar. Waombolezaji wengine watapata muda wa kumuaga mwanamuziki huyo saa 7 mchana na mazishi yanatarajiwa kufanyika Makaburi ya Kinondoni jijini saa 9 alasiri.

Tags:

0 Responses to “Update: Waombolezaji Waanza Kuuaga Mwili Wa Marehemu Langa..!!”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI