Friday, June 21, 2013

Video Nzima Ya Mkutano Wa Chadema Ambayo Iliahidiwa Kuwekwa Mtandaoni

Video hii ya saa moja na nusu ya mkutano mzima wa CHADEMA uliofanyika katika viwanja vya Soweto mkoani Arusha uliofanyika siku ya Jumamosi tarehe 15 Juni 2013, siku ambayo palitokea mlipuko na shambulio jioni punde tu baada ya kuhitimishwa kwa hotuba za viongozi mbalimbali, imewekwa youtube na Jesse R. 


KWA HISANI YA MPEKUZI BLOG CREDIT KWENU SANA.

Tags: ,

0 Responses to “Video Nzima Ya Mkutano Wa Chadema Ambayo Iliahidiwa Kuwekwa Mtandaoni”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI