Sunday, June 23, 2013

VIDEO YA OMMY DIMPOZI ALIVYOPIGWA CHUPA NA MAWE AKIWA STEJINI NA KUKATISHA SHOW YAKE MJINI DODOMA JANA



Jana DODOMA katika show ya Kilimanjaro Ommy Dimpoz na madansa wake  wamejikuta  wakiambulia  kupigwa  mawe  na  chupa  jukwaani, hali  iliyowafanya  walikimbie  jukwaa...

Pamoja  na  kupigwa  mawe  na  makopo, jamaa  walijikaza  kisabuni  mpaka  baunsa  akaamua  kuwatoa  jukwaani ili  kunusuru  roho  zao.....
Kisa  cha  kupigwa  mawe  nkinatokana  na  tusi  la  Ommy Dimpoz  kwa  marehem Ngwea...
Ommy  alimtusi  Ngwea  kwa  kudai  kuwa  ujinga  wake  ulimfanya  afe  masikini  na  kwamba  yeye  kwa  sasa  amechoka  kuzika  watu  masikini...
ANGALIA VIDEO HIYO HAPA CHINI

Tags: ,

0 Responses to “VIDEO YA OMMY DIMPOZI ALIVYOPIGWA CHUPA NA MAWE AKIWA STEJINI NA KUKATISHA SHOW YAKE MJINI DODOMA JANA ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI