Sunday, June 23, 2013

MAAJABU: MTOTO AZALIWA NA MAKALIO MATATU, MAMA YAKE ALIA AKIOMBA MSAADA





Maajabu ya uumbaji yamemfanya mama mzazi wa Xiao Wei ambaye ni mchina amwage machozi akiomba msaada wa kunusuru maisha ya mwanae mwenye umri wa miezi 7 aliyezaliwa na makalio matatu...


Kalio la tatu lipo kama mkia mfupi, wenye urefu wa sentimita 8 ( 8 cm ), katikati ya makalio mengine mawili.
Akiongea kwa uchungu, mama mzazi wa mtoto huyo amedai kuwa kwa muda mrefu amekuwa akiwaomba madaktari wafanye upasuaji wa tako hilo lakini wao wamekuwa wakimjibu kuwa hiyo si kazi nyepesi kama anavyodhani....
"Tukilikata litaota tena, hivyo hatutakiwi kukurupuka na badala yake tutakiwa kupata muda wa kupitia vitu vingi ukiwemo mrija wa uti wa mgongo ambapo kalio hilo limejiegesha"

Tags: ,

0 Responses to “MAAJABU: MTOTO AZALIWA NA MAKALIO MATATU, MAMA YAKE ALIA AKIOMBA MSAADA ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI