Friday, June 21, 2013

Video Ya Wanawake Wawili Waliovuliwa Nguo Na Kutembezwa Uchi Kwa Madai Ya Wizi




Kulikuwa na kizaazaa katika eneo la transami huko embakasi hapa jijini baada ya wanawake wawili kuvuliwa nguo na kusazwa uchi wa mnyama. 


Kisa na maana walikamatwa kwa madai ya walitaka kumuibia mwanamume mmoja, ambaye waliandamana naye nyumbani kwake jana usiku kwa starehe.

 Inadaiwa walimtilia dawa- bwana huyo akalaa fofofo...aliamkia purukushani nyumbani kwake.makinika na malimwengu haya . 

Tags: ,

0 Responses to “Video Ya Wanawake Wawili Waliovuliwa Nguo Na Kutembezwa Uchi Kwa Madai Ya Wizi”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI