Wednesday, July 3, 2013

KINYAMBE HATAKI KUISHI DAR. HII NDO SABABU ALIYOITOA. SOMA HAPA


James Kinyambe mchekeshaji mahiri Bongo. MCHEKESHAJI anayetamba katika tasnia ya filamu na vichekesho Bongo Mohamed Abdalah ‘Kinyambe’ amesema kuwa hata siku moja hajawahi kufikiria kuishi Dar es Salaam pamoja na watayarishaji wa filamu na vichekesho wakimlazimisha msanii huyo ahame Jijini Mbeya na kuishi Dar es Salaam kwani huko ndio kwenye kazi nyingi, lakini yeye anasema kwa sababu ana kitu pekee lazima waandaaji wamfuate. . James Kinyambe katika pozi lake. James Kinyambe akiwa kazini. “Sitaki kuishi Dar es Salaam kwa sababu naona kila msanii akikubalika na kuwa nyota la... more »

Tags:

0 Responses to “KINYAMBE HATAKI KUISHI DAR. HII NDO SABABU ALIYOITOA. SOMA HAPA ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI