Wednesday, July 3, 2013

MAJANGA IMENIPA DILI NONO LA KUREKODI MOVIE SOUTH A ASEMA SNURA, HII NDO MOVIE ATAYOIGIZA SOUTH


Snura Mushi mwigizaji wa filamu Swahiliwood. MWIGIZAJI wa kike na mwimbaji wa muziki wa kizazi kipya Snura Mushi amedai kuwa muziki ulimpa dili ya kwenda kurekodi filamu Afrika ya Kusini, anasema kuwa watayarishaji wa filamu ya Tandeka iliyorekodi jijini Pretoria kwa kuwashirikisha wasanii watanzania waishio Afrika ya Kusini imetokana na kufanya vizuri katika muziki hasa nyimbo yake ya Majanga. . Snura Mushi msanii wa filamu na muziki. Snura Mushi katika pozi Snura Mushi akiwa katika pozi matata. “Filamu kwa sasa inachangamoto sana hilo lilinifanya nirudi katika muziki huk... more »

Tags:

0 Responses to “MAJANGA IMENIPA DILI NONO LA KUREKODI MOVIE SOUTH A ASEMA SNURA, HII NDO MOVIE ATAYOIGIZA SOUTH”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI