Wednesday, July 3, 2013
LIMO YA OBAMA INAWEZA KWENDA 97KM TU KWA SAA AT MAXIMUM
Wednesday, July 3, 2013 by Unknown

Ile speed ikanifanya nitafute habari zaidi, niliyoyaona yamenishangaza, kumbe
Maximum speed ya limo ya obama ni 60mph tu, sawasawa na kilimita kama 97 kwa saa. hii gari haina ujanja wa kwenda hata 100km kwa saa, hata boda boda inaweza kwenda speed kuliko hii gari
ina uzito unaokadiria kukaribia tani 9
matumizi ya mafuta ni 8mpg, kwa lugha ingine inahitahi lita 35.31 ili kutembea kilomita 100, hii ni sawa na lita 1 kwa kila kilomita 2.8
vioo vyote havifunguki isipokua pale kwa dereva kwa mbele. gari iko 100% sealed
Vioo vya dirishani vina thickness ya inchi 5 wakati milango ni nchi 8.
kutokana na unene wa madirisha na milango, obama hawezi kusikia chochote kinachoendelea nnje, spika zimewekwa ili kunasa sauti za nje
gari ina night vision kamera zinazomuwezesha dereva kuendesha usiku bila hata kuwasha taaTOA MAONI YAKO HAPA
Tags:
burudani ,
udaku

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “LIMO YA OBAMA INAWEZA KWENDA 97KM TU KWA SAA AT MAXIMUM ”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.