Wednesday, July 3, 2013

MKE WANGU HALALI NA MIMI CHUMBANI, ANALALA NA HOUSEGIRL-MSAADA PLIZ



Nimekuwa na tatizo hili kwa miezi mitano sasa. Nimejaribu kuvumilia lakini nimeshindwa. 
Tumejaaliwa mtoto mmoja wa kiume na kwa sasa mke wangu ni mjamzito. Mke wangu baada ya kupata ujauzito miezi mitano iliyopita amenichukia sana na inafikia kipindi tunagombana sana tukiwa faragha na hadi kufikia uamuzi wa kwenda kulala kwenye chumba na housegirl. 
Nimemuomba sana tulale wote chumbani lakini bila mafanikio so nikaamua kumchunia hadi hivi sasa huu ni mwezi wa tano. Je niendelee na msimamo huu wa kulala peke yangu na kama hapana je kuna madhara yoyote kutokana na hali hii? Msaada please
Source:Jamii ForumsTOA MAONI YAKO HAPA

Tags:

0 Responses to “MKE WANGU HALALI NA MIMI CHUMBANI, ANALALA NA HOUSEGIRL-MSAADA PLIZ ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI