Friday, July 12, 2013

Mwanaume Nileyezaa nae haeleweki Natafuta Mwingine Anaye Eleweka







Nilikuwa na mpenzi tuliyedumu miaka sita,bahati nzuri nilipata ujauzito na nikazaa salama,issue inakuja baada ya kuzaa nilifahamu kuwa jamaa kuna mwanamke kamzalisha pia na watoto wetu wamepishana miezi 2.niliamua kuachana nae na sasa mtoto anamiaka mitatu na hajawahi kumhudumia,cha ajabu mwanamke wake anani2kana sana na huyo mwanaume anatangaza kuwa me namuomba matumizi ya mtoto while iz not true.plz nisaidien niwajib nini hawa watu coz kla cku ni msg za matusi...Mimi Simtaki Tena Natafuta Mtu Mwingine anaye Aleweka Ambaye Tutapenda..Japo tayari nina Mtoto Mmoja.

Tags:

0 Responses to “Mwanaume Nileyezaa nae haeleweki Natafuta Mwingine Anaye Eleweka ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI