Friday, July 12, 2013

Napenda Wapenzi wa Online ila Tukisha Onana Siwapendi Tena




Mimi ni Msichana wa Miaka 23 , muda mwingi nipo online kwenye Facebook ...sasa huko nimekuwa nikikutana na wavulana wazuri na huwa tunachat mambo ya mapenzi kama wapenzi .Mapenzi huwa matamu sana pale tunapochat na kufanya mapenzi online ila tukisha onana tu simpendi tena na ninatafuta mwingine online...Je nina tatizo ? nifanyaje niache?

Tags:

0 Responses to “Napenda Wapenzi wa Online ila Tukisha Onana Siwapendi Tena ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI