Monday, July 15, 2013

ODAMA AWAJIBU WANAOMTUHUMU KUZIFANYIA " PHOTOSHOP " PICHA ZAKE NA KUDANGANYA ALIKUWA ULAYA





Baada ya kuzagaa kwa habari zikimtumu mwanadada wa filamu Tanzania Jennifer Kyaka aka Odama kwamba huzifanyia makeke yaphotoshop picha zake na kuwadanganya wananchi kuwa amezipigia Ulaya, ameongea na na mwandishi wetu kukanusha huku akionesha picha halisi zinazomuonesha akiwa mbele.

Baada ya tuhuma hizo kumkabili Odama, Mwandishi wetu alimtafuta mwanadada huyo wa filamu na ndipo alipokanusha tuhuma hizo na kusema hakufanya kitu kama hicho na kwamba waliosema hivyo wanania mbaya naye.


Ili kukata ‘ngebe’ za manisnitch hao Odama ametutumia picha hizi za ushahidi kwamba alikuwa nje ya nchi kama alivyosema.


“Kuna watu wanakosa vya kufanya ndio maana wanakaa na kuanza kuzusha vitu ambavyo hawana uhakika navyo so siwashangai kwakuwa binadamu tunatofautiana upeo,”Odama

Bongo5

Tags: ,

0 Responses to “ODAMA AWAJIBU WANAOMTUHUMU KUZIFANYIA " PHOTOSHOP " PICHA ZAKE NA KUDANGANYA ALIKUWA ULAYA ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI