Monday, July 15, 2013

HIVI NDIVYO HALI ILIVYOKUA JANA JIJINI ARUSHA WAKATI WA UCHAGUZI MDOGO WA MADIWANI KATIKA KATA 4

Polisi wakimsihi Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari aondoke nje ya kituo cha kupigia kura cha Ofisi ya kata ya Kimandolu,pamoja na makada wa CCM hawako pichani ambapo walitakiwa kukaa mita 200 badala ya mita 100.

Makarani wa uchaguzi wakiingiza masanduku ya kura katika ofisi ya kata ya Kimandolu kutoka kituo cha kupigia kura cha shule ya msingi kimandolu. 

Makarani wa uchaguzi wakiingiza masanduku ya kura katika ofisi ya kata ya Kimandolu kutoka kituo cha kupigia kura cha shule ya msingi kimandolu. 
Polisi wakiimarisha ulinzi katika lango kuu la kuingilia kituo cha kupigia kura cha Ofisi ya kata ya Kimandolu katika uchaguzi ulifanyika leo mjini Arusha. 

Tags:

0 Responses to “HIVI NDIVYO HALI ILIVYOKUA JANA JIJINI ARUSHA WAKATI WA UCHAGUZI MDOGO WA MADIWANI KATIKA KATA 4 ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI