Sunday, July 7, 2013
Picha 5 za Rais Kikwete uwanja wa Taifa leo na alipopuliza filimbi
Sunday, July 7, 2013 by Unknown
.
Ni Jumapili July 7 2013 ambapo mpaka sasa hivi saa mbili na dakika 20 Tamasha la Matumaini linaendelea kwenye Uwanja wa taifa ambapo Rais Jakaya Kikwete alikua mgeni rasmi, ilitangazwa kwamba President angekua refa kwa muda mfupi kwenye mechi ya Wabunge wa Yanga vs wa Simba.
Hata hivyo President baada ya kukagua timu alipewa nafasi na kupuliza kipenga kwa ajili ya game kuanza…
President alikua na mkwara kama refa wa kweli yani.. hapa kama alikua anatoa maelekezo flani hivi kwa refa.
.

Baada ya kupuliza filimbi akaikabidhi kwa refa ili game iendelee.
Tags:
burudani ,
michezo

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “Picha 5 za Rais Kikwete uwanja wa Taifa leo na alipopuliza filimbi ”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.