Friday, August 30, 2013

ALIYEMPASUA AUNT EZEKIEL KWA CHUPA HUYU HAPA



Mrembo Yvonne aliyempasua kwa chupa Aunt Ezekiel usiku wa kuamkia Jumatatu, nje ya Ukumbi wa Billicanas.
Mkono wa kushoto wa Aunt Ezekiel Grayson ‘Gwantwa’ uliopasuliwa na Yvonne kwa chupa.
Pichani juu ni mrembo aliyempasua mwigizaji wa sinema za Bongo, Aunt Ezekiel Grayson ‘Gwantwa’ ajulikanaye kwa jina la Yvonne. Tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia Jumatatu, nje ya Ukumbi wa Billicanas, ambapo Yvonne alimpiga Aunt kwa chupa tupu ya bia na kumpasua mkono wa kushoto. Vurugu kubwa ilizuka baada ya tukio hilo na Aunt alikimbizwa hospitali ya Aga Khan huku Yvonne akapelekwa msobemsobe Kituo cha Polisi cha Oysterbay, Dar ambapo anashikiliwa.

Tags: ,

0 Responses to “ALIYEMPASUA AUNT EZEKIEL KWA CHUPA HUYU HAPA”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI