Friday, August 30, 2013

RAY C AFUATA YA MASANJA, NAE AOKOKA KWA KUBATIZWA LEO! CHECK TUKIO ZIMA



Yule dada yetu msanii maarufu wa nyimbo za ubongo wa fuleva leo hii amewaka bayana ya kuwa yeye na shetani sasa ni paka na panya. Amethibitisha hayo katika post zake za instagram. Wambea hatuna maneno mengi zaidi ya kusema angalia picha hizo na wote tuseme AMEN umechagua njia njema.

Tags:

0 Responses to “RAY C AFUATA YA MASANJA, NAE AOKOKA KWA KUBATIZWA LEO! CHECK TUKIO ZIMA”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI