Friday, August 30, 2013

DIAMOND NOMA:AMZAWADIA MZEE GURUMO GARI MPYA KATIKA UZINDUZI WA VIDEO YAKE MPYA "NUMBER ONE"



AKIMKABIDHI MZEE GURUMO KARI 

Diamond Platnumz jana alifanya uzinduzi wa video ya wimbo wake mpya, Number 1 kwenye ukumbi wa Serena Hotel jijini Dar es Salaam. Uzinduzi huo ulihudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo ndugu zake, marafiki, wasanii wenzake na wadau mbalimbali wa muziki nchini.

Kwenye uzinduzi huo pia, Diamond alimpa zawadi ya gari msanii mkongwe aliyetangaza kustaafu muziki, Muhidin Gurumo kama heshima kwake.

Tags:

0 Responses to “DIAMOND NOMA:AMZAWADIA MZEE GURUMO GARI MPYA KATIKA UZINDUZI WA VIDEO YAKE MPYA "NUMBER ONE"”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI