Sunday, September 22, 2013

DIAMOND NA NADIA INSTAGRAM UTATA MTUPU....KWELI NI MASHEMEJI







Jana Mambo kwenye Instagram mambo yalikuwa ni Diamond na Nadia tu picha kibao ..zao zikijadiliwa ...Huyo ni Mwanadada Nadia wa malaysia alipo Diamond kwa sasa akifanya show katika mapozi tofauti sehemu mbali mbali...Mpashaji wa habari hii ametuambia eti wanaitana mashemeji ....Mhh We Wasemaje kunani? au tuwaache walale?

Tags:

0 Responses to “DIAMOND NA NADIA INSTAGRAM UTATA MTUPU....KWELI NI MASHEMEJI”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI