Friday, October 4, 2013

BREAKING NEWS:Muhubiri wa kiisilamu auawa Mombasa



Ibrahim Rogo alikuwa muhubiri katika msikiti alipokuwa akihubiri marehemu Sheikh Aboud Rogo ambaye pia aliuawa kwa kupigwa risasi mwaka jana........Rogo ameuawa na wenzake wanne na haijulikani nani kawaua..

Mauaji haya yanakuja wiki mbili baada ya mashambulizi ya kigaidi mjini Nairobi kuwaua watu 67...........

Tags: ,

0 Responses to “BREAKING NEWS:Muhubiri wa kiisilamu auawa Mombasa”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI