Thursday, October 3, 2013

DIAMOND JANA ALIKUWA NA BABY AKE PENNY WAKILISHA CAKE YA BIRTHDAY-HAKUNA CHA WEMA WALA NINI




Wakati watu wakiongea mengi na kuzusha Dimond amemwaga mpenzi wake Penny na kurudiana na Wema Sepetu , Wawili hao Walikuwa wakilishana Cake na Kucheza Kitandani kama Watoto wadogo ...kama picha zinavyoonyesha ...Hakuna cha Wema wala nini ...Embu tuwaache Walale Jamani...Dahhhhh

Tags: ,

0 Responses to “DIAMOND JANA ALIKUWA NA BABY AKE PENNY WAKILISHA CAKE YA BIRTHDAY-HAKUNA CHA WEMA WALA NINI”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI