Thursday, October 3, 2013

UGONJWA WA PUMU UNAMTESA SANA JOKATE AOMBA WATANZANIA MUMWOMBEE



“Naumwa jamani, pumu inanisumbua inanitesa sana. Inaponitokea huwa nashindwa kufanya kabisa kazi zangu za kila siku na vitu vyote huwa vinalala hadi nitakapopata nafuu,” alisema Jokate kwa tabu.

Hayo ni maneno ya Jokate mwegelo alipokuwa akizungumza na mwandishi wa mtandao wa GPL hivi karibuni.

Mwanadada huyu ameataka fans na watu wote wenye mapenzi mema wamuombee kwani pumu hiyo kwa sasa imemshika sana

Pole sana Jokate

Tags:

0 Responses to “UGONJWA WA PUMU UNAMTESA SANA JOKATE AOMBA WATANZANIA MUMWOMBEE”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI