Thursday, October 3, 2013

SUBA MKOLE KESHO KUZINDUA VIDEO YA SONDE FEAT. NEY WA MITEGO NDANI YA FRIDAY NITE EATV



Vijana wawili wakali kabisa katika Music hapa Bongo Suba Mkole ( Chriss Material na Wambua Classic) Kesho watazindua Video ya Wimbo wao Mpya unaotamba Redio Mbali mbali hapa Bongo unaoitwa Sonde ..Video Hiyo Itazinduliwa Ndani ya Kipindi cha cha TV Friday Nite Pale EATV....Video Imefanywa na Mac Media chini ya Director Abas Adam.....

Tags:

0 Responses to “SUBA MKOLE KESHO KUZINDUA VIDEO YA SONDE FEAT. NEY WA MITEGO NDANI YA FRIDAY NITE EATV”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI