Home
» burudani
» BAADA YA KUPOTEA KIMUZIKI MWANAMUZIKI 20 PERCENT AMUOMBA MSAMAHA PRODUCER MAN WATER
Thursday, October 3, 2013
BAADA YA KUPOTEA KIMUZIKI MWANAMUZIKI 20 PERCENT AMUOMBA MSAMAHA PRODUCER MAN WATER
Thursday, October 3, 2013 by Unknown
Hakika Nyumbani ni Nyumbani tu ...Mwanamuziki 20 Percent ambayo miaka kama miwili iliyopita alikuwa ni tishio katika muziki wa Bongo Flava Hatimae ameamua kujirudi na kuondoa Beef walilo kuwa nalo na Producer wake ambaye ndio alikuwa anamtoa Man Water ...Wawili Hao wamekuwa kwa muda mrefu hawapatani kila mtu akisema mwenzake ndio mbaya ...ila leo wamekutana katika Ofisi za Magic FM na Kumaliza Tofauti zao na Kuhaidi kufanya kazi pamoja tena...20 Percent toka aachane na Producer huyo ameshindwa kabisa kufurukuta katika Game Hilo na kuonekana ameishiwa kabisa....Tunamuombea Arudi tena kama dhamani tupate Burudani Safi toka kwake....
Tags:
burudani

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “BAADA YA KUPOTEA KIMUZIKI MWANAMUZIKI 20 PERCENT AMUOMBA MSAMAHA PRODUCER MAN WATER”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.