Thursday, October 3, 2013

MR BLUE "INANIUMA SANA NAPOSIKIA WATU WANASEMA NIMEPOTEA KATIKA GAME"



Hatimae yule Nguli wa Music wa Bongo Flava Mr Blue Amefunguka na Kuongelea kupotea kwake kwenye Game , Mr blue Amesema kwa sasa game limechange inabidi kusoma kwanza mchezo ndio kuingia uwanjani ....ila ana umia sana anaposikia watu wakisema kuwa hana mpya katika game hilo la music wa kibongo ......Kwa muda sasa Dogo huyu hajatoa wimbo mzuri ambao umewagusa watu na wengine wakileta umbea kwamba ameanza kutumia unga....Anyways ..Dogo we are waiting for u ukishamaliza kusoma mchezo drop us a HIT......


Udaku Specially Blog

Tags:

0 Responses to “MR BLUE "INANIUMA SANA NAPOSIKIA WATU WANASEMA NIMEPOTEA KATIKA GAME"”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI