Tuesday, October 8, 2013

HAWA NDIO WASHIRIKI WANNE WANAO IWAKILISHA TANZANIA TUSKER PROJECT FAME




Hatimae Washiriki watakao iwakilisha Tanzania katika Mashindano ya mziki yanayo andaliwa na kinjwaji cha Tusker ,Tusker Project Fame wamejulikana , Washiriki hao ni Angel, 23 yrs, Hisia, 21 yrs Tanah, 21 yrs na Dubson, 25yrs. Washiriki hao watakaa katika Academy ya music huko Nairobi kwa kipindi fulani huku wakichuana kupata washindi...Mashindano hayo ndio yamezaa wakali katika Bongo Flava kama Hemed na Peter Msechu.
Stay Tuned we will be Updating you on Their Progress

Tags:

0 Responses to “HAWA NDIO WASHIRIKI WANNE WANAO IWAKILISHA TANZANIA TUSKER PROJECT FAME”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI