Home
» celebrities
» IMEFAHAMIKA JOKATE NA HASHEEM THABIT WALIKUWA WAPENZI KWA MIAKA MITATU KABLA YA KUACHANA
Friday, October 18, 2013
IMEFAHAMIKA JOKATE NA HASHEEM THABIT WALIKUWA WAPENZI KWA MIAKA MITATU KABLA YA KUACHANA
Friday, October 18, 2013 by Unknown
Muigizaji wa filamu, VJ wa Channel O Tanzania, mbunifu wa mavazi na mjasiriamali, Jokate Mwegelo aka Kidoti na mchezaji mrefu zaidi kwenye ligi ya mpira wa kikapu ya Marekani, NBA, Hasheem Thabeet walikuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi uliodumu kwa miaka mitatu..
Akizungumza kwenye kipindi cha Amplifaya cha Clouds FM, Jokate alikiri kuwa mara nyingi alikuwa akijitahidi mno kukwepa maswali yanayohusu mahusiano yake hali iliyopelekea uhusiano wake na Hasheem usifahamike kwa watu wengi.
“Hashim Thabeet aka ‘Lulu’ nimedumu naye kwa miaka miwili mpaka mitatu na Diamond nimedumu naye kama siyo mwezi mmoja basi miwili,” alisema.
Jokate alisema baada ya hapo amekaa kwa kipindi cha mwaka mmoja mpaka sasa bila kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume yoyote hali iliyomfanya awe na uhuru wa kufanya mambo yake bila kusumbuliwa na mwanau
Tags:
celebrities

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


0 Responses to “IMEFAHAMIKA JOKATE NA HASHEEM THABIT WALIKUWA WAPENZI KWA MIAKA MITATU KABLA YA KUACHANA”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.