Friday, October 4, 2013

MADAMU RITA AZIDI KUONYESHA UKOMAVU-AMPA NEY WA MITEGO SHAVU LA KUWA JAJI BSS



Hii Itawashangaza wengi lakini mie nimeipenda sana , Baada ya Ney wa Mitego Kuiponda Bongo Star Search na Kuuliza kama kweli washindi wanapewa zawadi huku akiwaponda kuwa wamechoka...Madam Rita Ameibuka na Kumpa Ujaji Ney katika shindano hilo ...Ataaza kuonekana Wiki Ijayo ,,Big up najua hii Itawavuta watu wengu kutazama show hiyo....

Tags:

0 Responses to “MADAMU RITA AZIDI KUONYESHA UKOMAVU-AMPA NEY WA MITEGO SHAVU LA KUWA JAJI BSS”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI