Friday, October 4, 2013

BREAKING NEWSS:IBRAHIM ROGO AUAWA KINYAMA NCHINI KENYA




Mrithi wa Al marhum shekh Aboud Rogo aitwae Ibrahim Rogo ameuawa kinyama na watu wasio fahamika nchini Kenya mtindo huu wa uuwaji unafanana na vile Aboud Rogo jinsi alivyouuawa na watu wasiofahamika.Shekh Ibrahim Rogo ameuawa usiku wa kuamkia leo leo akiwa anatokea mskitini,akiwa pamoja na wenzake kwenye gari ndogo,jumla ya watu wanne inasemekana kuuawa kwa kupigwa risasi na watu hao wasiofahamka.Mauaji hayo ya kinyama yametokea wiki mbili tu baada ya tukio la uvamizi wa 
Wastegate mall mjini Nairobi



Salim Adbi pekee ndiye aliyenusurika kifo

Tags:

0 Responses to “BREAKING NEWSS:IBRAHIM ROGO AUAWA KINYAMA NCHINI KENYA”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI