Monday, October 21, 2013

MITANDAO YA KIJAMII NA ATHARI ZAKE KWA WADADA WALIO KATIKA MAHUSIANO YA KIMAPENZI



Miongoni mwa mambo ambayo yamekuwa yakinipa woga na hofu ni kuoa mwanamke anayetumia sana mitandao ya kijamii zaidi ya moja mfano Twitter, Facebook, INSTAGRAM nk , Siku hizi wimbi kubwa limeibuka la wadada kutumia mitandao hii unaweza kwenda na mdada Date lakini asilimia 80 atakuwa anabofya bofya simu yake badili ya kuongea na wewe ...huwa naondoa 60% kuwa sitowezana naye maana ni bora mwanaume akawa anafahamu mambo mengi kuliko mwanamke atakudharua san maana kila mtakachozungumza lazima apeleke mtandaoni huku upo naye hapohapo na hivyo kuona huna jipya kwake, hii imenifanya mahusiano na m/ke kitu muhimu kuuliza ni kuwa anatumia mitandao gani ya kijamii ili namna ya kukabiliana naye au wadau mnasemaje watu hawa wanafaa kuwa wife material kweli!

Tags:

0 Responses to “MITANDAO YA KIJAMII NA ATHARI ZAKE KWA WADADA WALIO KATIKA MAHUSIANO YA KIMAPENZI”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI