Friday, October 4, 2013

SINTAH "EMBU FANYENI KAZI NA MJENGE TAIFA..ONGELEENI VITU CONSTRUCTIVE..UNAMCHUKIA MTU UNAMJUA?



Baada ya watu kuandika sana about Diamond and Penny siku ya Birthday ya Diamond ..sinta ang'oka na kusema haya : 

"Watu wako kwenye dimbwi la mahabaaaa, muwawache kwa kweli, kuna mijitu mingine oooh mapenzi ya kuforce khaaa, unayajua mapenzi ya ku force wewe?? angetulia ktk camera?? muwaache wapumzike kwa raha zao jamani, na kina kuuma nini haswa? pilipili ya shamba ya kuwashia nini?? hebu tulia na ufanye yako badala na wewe umliwaze wako unakesha insta ku comment mbofumbofu kibaya una cc huoni utakuwa mtu mzima ovyo una akili zako umefungua insta kama mtu ana kukera just click unfollow na utulie ukiendelea ku follow you love em, kuwasumbua watu, yaani ningekuwa mie Martin nisinge hangaika kuwajibu why unapoteza your energy kujibu mtu usiemjua na umemjulia ukubwani ktk social network oooh Lord ahsante kwa moyo wangu wa ujasiri coz si entertain ujinga. 

huo muda ulipoteza ku comment na kujibizana na wajinga wenzio kuhusu watu ungesoma kitabu cha dini unayoiamini na Mungu angesikia maombi yako.

Waacheni wapendane afterall mapenzi ni mapenzi na kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho sasa either of the two mbaya ama mzuri jipangeee 
utakuta dume zima lipo busy ku comment nonsense khaaa neenga pipo gatta time and energy. 

siku ya mwenzenu kuzaliwa badala ya kumtakia kila la kheri Mungu amjalie na kazi zake anazozifanya mnakalia majungu na uswazi.com daah wabongo ni nuksi. 

hebu fanyeni kazi na mjenge taifa huko ongeleeni vitu constructive. 
unamchukia mtu unamjua?? jichukie mwenyewe kwa roho mbaya. 

CEO SINTAH"

Tags:

0 Responses to “SINTAH "EMBU FANYENI KAZI NA MJENGE TAIFA..ONGELEENI VITU CONSTRUCTIVE..UNAMCHUKIA MTU UNAMJUA?”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI