Friday, October 4, 2013

KOLETA" POMBE NI TULIZO LA MOYO WANGU ULIYOJAA MAJERAHA YA MAPENZI..SIWEZI ACHA"



Msanii wa Bongo Movie Koleta Amehabarisha kuwa Pombe ndio mpenzi wake kwa sasa kwani ndio humsahaulisha majeraha aliyoyapata kwenye Mapenzi .....Amesema hawezi acha pombe na mtu akitaka kukorofishana nae basi amshauri kuacha Pombe atakiona cha Moto....

Udaku Specially Blog

Tags:

0 Responses to “KOLETA" POMBE NI TULIZO LA MOYO WANGU ULIYOJAA MAJERAHA YA MAPENZI..SIWEZI ACHA"”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI