Friday, November 22, 2013

HAWA NDIYO WATUHUMIWA 10 WALIOHUSIKA KATIKA KIFO CHA DK SENGONDO MVUNGI


Majambazi kumi wanaodaiwa kumuua Dr. Segondo Mvungi wamefikishwa kwenye Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu na kusomewa shitaka la kumuua Dr. Mvungi.


Kesi imesomwa na Hakimu Mkazi Sundi Fimbo ambapo Watuhumiwa hawakutakiwa kujibu chochote kutokana na Mahakama kutokua na uwezo wa kusikiliza kesi ya mauaji hivyo wanarudishwa Segerea mpaka tarehe tano December kwa ajili ya kesi kutajwa.


Hapa chini kuna majina yao, umri, wanakoishi pamoja na taarifa zao nyingine.






Tags:

0 Responses to “HAWA NDIYO WATUHUMIWA 10 WALIOHUSIKA KATIKA KIFO CHA DK SENGONDO MVUNGI”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI