Friday, November 22, 2013

KAMATI KUU CHADEMA YAMTEUA TUNDU LISSU KUWA MWANASHERIA MKUU WA CHAMA




Mhe. Tundu Lissu.Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imemteua Mhe. Tundu Lissu kuwa
Mwanasheria Mkuu wa chama hicho. Kamati hiyo ilikaa kikao chake Novemba 20 mpaka 21 katika Hoteli ya Blue Pearl Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam


GPL.

Tags:

0 Responses to “KAMATI KUU CHADEMA YAMTEUA TUNDU LISSU KUWA MWANASHERIA MKUU WA CHAMA”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI