Thursday, December 12, 2013

BreakingNEWS: Zitto Avuliwa Rasmi Unaibu wa Kambi ya Upinzani Bungeni



BreakingNEWS: Zitto Avuliwa Rasmi Unaibu wa Kambi ya Upinzani Bungeni


Dodoma, Tanzania. Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe HIVI PUNDE amevuliwa nafasi ya Naibu Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni.

Kikao cha Kumvua nafasi hiyo kilianza saa 7:00 mjini Dodoma na kuwashirikisha wabunge wa Chadema. Taariza zaidi, endelea kutembelea habarimasai.com

Updates:

Katibu wa Wabunge Bungeni, David Silinde amesema kwamba Zitto amevuliwa nafasi hiyo kutokana na maagizo ya Kamati Kuu ya Chadema (CC) iliyokaa hivi karibuni na kumvua nafasi ya Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho.

Amesema kwamba hivi sasa nafasi hiyo iko wazi mpaka hapo itakapotangazwa vinginevyo.
Source: www.habarimasai.com

Tags:

0 Responses to “BreakingNEWS: Zitto Avuliwa Rasmi Unaibu wa Kambi ya Upinzani Bungeni”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI