Home
» udaku
» IKIWA LEO NI SIKU YAKE YA KUZALIWA..., JACKLINE WOLPER APATA AJALI AKIWA NYUMBANI KWAKE ALIPOKUWA ANATOA GARI.
Saturday, December 7, 2013
IKIWA LEO NI SIKU YAKE YA KUZALIWA..., JACKLINE WOLPER APATA AJALI AKIWA NYUMBANI KWAKE ALIPOKUWA ANATOA GARI.
Saturday, December 7, 2013 by Unknown
Leo ni siku ya kuzaliwa kwa miongoni mwa wasanii wanaofanya vizuri katika tasnia ya filamu hapa nchini Jacklyn Wolper.
Kupitia kwenye instagram Desemba 6 amepost picha ambayo ikionesha amenusurika kuumia baada ya kuondoa gari lake kwa kasi na kupelekea kugonga tanki la maji na kusababishaa ajali.
Huu ndio ujumbe wake 'dah kuzaliwa cku moja na kufa ni cku moja nando maana kila cku nasisitiza upendo na chuki zisizokua na sababu.hvii leo ni bthday yangu lakn nilikua nauvaa ukuta wakat nasogeza gar ioshwe tayar kwa maandaliz .wakat nakanyaga brk kumbe nakanyaga mafuta maskn ya mungu nimebomoa matnk ya maji yote nimepasua mabomba yote nimegonga gar nyingne but yote nikumshukuru mungu kwakua sijaumia ila prsh ilishuka kidogo but now npo ok.asante mwenyezi mungu,mungu wa wote,kimbilio la wote na wewe ndo kimbilio langu.niombeeni maskn'Aliandika Wolper
Tags:
udaku

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



0 Responses to “IKIWA LEO NI SIKU YAKE YA KUZALIWA..., JACKLINE WOLPER APATA AJALI AKIWA NYUMBANI KWAKE ALIPOKUWA ANATOA GARI.”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.