Sunday, December 1, 2013

MTANZANIA WA KWANZA NDANI YA JARIDA LA PLAYBOY MAREKANI




ichani juu ni Mtanzania wa kwanza kuwepo katika ukurasa wa mbele wa Jarida maarufu la Playboy la nchini Marekani ambapo amelipwa kitita kikubwa mno. Jarida hilo limewatoa mastaa kibao wakiwemo Madonna, Kim Kardashian, Naomi Campbell, Garcelle, Vanessa Williams na wengineo.
GPL

Tags:

0 Responses to “MTANZANIA WA KWANZA NDANI YA JARIDA LA PLAYBOY MAREKANI”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI