Sunday, March 23, 2014

BREAKING NEWS : MBUNGE WA NZEGA HAMISI KIGWANGALLA ANUSURIKA KUUAWA NA POLISI, HIKI NDO ALICHOKISEMA



 
kupitia ukurasa wake wa Facebook Hamisi kaandika "Nimenusurika kuuawa muda si mrefu. Mungu mkubwa. Askari kwenye gari ananiambia na bahati yako nimekukosa, nililenga kichwa....kijana mmoja alikaa mbele yangu amepigwa risasi kwenye paji la uso, sijui kama amenusurika! Vijana wamenilinda kwa ujasiri bila hofu. Leo askari wamenikamata kwa staha. Siwezi kukubali kamwe dhulma ya mabepari dhidi ya wanyonge! Niliwaahidi na niliapa kuwatetea..."







SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKOTOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Tags:

0 Responses to “BREAKING NEWS : MBUNGE WA NZEGA HAMISI KIGWANGALLA ANUSURIKA KUUAWA NA POLISI, HIKI NDO ALICHOKISEMA”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI