Sunday, March 23, 2014

MAPENZI MAPYAAAAAAA...!! RAY C KAFA KAOZA KWA PENZI LA DIAMOND PLATNUMZ, HAAMBIWI HASIKII, WEMA SEPETU KUMKOSA DIAMOND...!! SOMA HAPA







Ray C

Msanii "kiuno bila mfupa" Rehema Chalamila. 'Ray C' anadaiwa kuwa bize na harakati za kumnasa sukari ya warembo Naseeb Abdul 'Diamond' katika anga za maoenzi huku duru za habari zikidai kuwa muda si mrefu kuanzia saaa yataandikwa mengi juu ya wawili hao

Mwandishi wetu alizungumza na rafiki wa karibu na Ray C hivi karibuni na kuambiwa kuwa muda mwingi jina la Diamond halikatiki mdomoni mwa mrembo huyo


Diamond Platnumz



Chanzo chetu cha habari kilizidi kudai kuwa kwa sasa Ray C hana furaha hadi atakapotimiza nia na lengo la kumnasa Diamond hapo ndipo furaha yake itakapotimu

Aidha habari zinazidi kudai kuwa mara kadhaa Ray C amekuwa akipanga Miadi ya kukutana na Diamond licha yakushindikana kwa apointiment hizo kila mara "kwasasa Ray C haambiwi kitu kwa Diamond, ana haha kila wakati kumweka mikononi mwake, hana furaha kabisa hadi lengo lake litakapotimia, na muda si mrefu mtaandika juu ya hao" alisema rafiki ea Karibu na Ray C

Wema sepetu

Mwandishi wetu aliwatafuta wawili hao kwa njia ya simu ambapo simu ya Ray C ilionekana kuwa bize muda mwingi huku Diamond akidai kutokuwa na taarifa juu ya madai hao "kaka mimi sina taarifa kabisa na habari hizo, kwangu Ray C namchukulia kama dada yangu" alisema Diamond.
Mwandishi wetu alipomtaka Diamond kufafanua hatua atakayochukua endapo mrembo huyo ataamua kumwambia anamtaka ambapo kwa haraka Diamond alisema "NO COMNENT (sina cha kujibu)" na kukata simuSHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKOTOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Tags:

0 Responses to “MAPENZI MAPYAAAAAAA...!! RAY C KAFA KAOZA KWA PENZI LA DIAMOND PLATNUMZ, HAAMBIWI HASIKII, WEMA SEPETU KUMKOSA DIAMOND...!! SOMA HAPA”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI