Home
» michezo
» DAVID MOYES AJITETEA ..."HATA INGEKUWA NI FERGUSON MSIMU HUU ANGEPATA WAKATI MGUMU"
Saturday, March 29, 2014
DAVID MOYES AJITETEA ..."HATA INGEKUWA NI FERGUSON MSIMU HUU ANGEPATA WAKATI MGUMU"
Saturday, March 29, 2014 by Unknown
Meneja wa klabu ya Manchester United, David Moyes amedai kwamba msimu huu wa kwanza kwake hata ungekuwa kwa Sir Alex Ferguson angepata shida kufanya la maana ndani ya msimu ukilinganisha na wachezaji wake wenye umri mkubwa.
Kauli hiyo ya Moyes imekuja huku Jumamosi hii kundi la mashabiki wa Manchester United likipanga kukodisha ndege itakayopeperusha kibendera chenye maandishi ya kumpinga kocha huyo. Manchester United imekuwa na msimu mbaya kiasi cha mashabiki wa timu hiyo kuanza kulalamika vikali wakimtaka Moyes afutwe kazi. Tags: michezo

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “DAVID MOYES AJITETEA ..."HATA INGEKUWA NI FERGUSON MSIMU HUU ANGEPATA WAKATI MGUMU"”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.