Sunday, March 23, 2014

HATA KAMA NI MKAO LAKINI HUU WA HUYU BINTI NI KIBOKO!!! HATA SIJUI ANATUFUNDISHA NINI?





Hivi unakuwa na nia gani unakubali kupigwa picha kama hii kwa mkao huu tena ndani ya Ofisi.na Kuamua kuiweka Mtandaoni huku si kujidhalilisha na kuwafanya wale waliokupa mamlaka ya wadhifa ulionao ndani ya ofisi hiyo kuwafanya walikosea kwakuwa akilizako si timamu na hukupaswa kuwepo hapo

Jamani wanaweke/wakina dada kuweni na mawazo pindi mfanyapo vitu vyenu. Kiukweli kwa sasa Tumewachoka na hii hali.

Tags:

0 Responses to “HATA KAMA NI MKAO LAKINI HUU WA HUYU BINTI NI KIBOKO!!! HATA SIJUI ANATUFUNDISHA NINI?”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI